Current Issue

Juz 20(2)
View All Issues

 

KIOO CHA LUGHA ni jarida la kimataifa linalopitiwa na wataalamu na kuchapishwa na Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (TATAKI) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (CKD). Jarida linachapisha makala za lugha, fasihi na isimu. Jarida huchapishwa katika juzuu moja kila mwaka, lakini kuanzia mwaka 2021 litaanza kuchapishwa mara mbili (2) kwa mwaka. Makala inaweza kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza.

Makala ziwasilishwe kwa kutumia anwani ya baruapepe kioo1995@udsm.ac.tz au kioo.udsm@gmail.com 

Tafadhali tembelea jarida letu kwa anwani: https://journals.udsm.ac.tz/index.php/kcl,  https://www.ajol.info/index.php/kcl