Misingi ya Matumizi ya Wakaa katika Usimulizi wa Riwaya za Kiswahili: Mifano kutoka Nagona na Mzingile

Authors

  • Athumani S. Ponera University of Dar es salaam
  • Jasmine Kinga University of Dar es Salaam

Abstract

Makala hii inajadili kuhusu wakaa kama kipengele cha kibunilizi katika utunzi wa kazi za fasihi. Shabaha kuu ni kufafanua misingi iliyomwongoza mwandishi kutumia wakaa kwa jinsi inavyodhihirika katika kazi teule. Nadharia ya Umuundo imetumika kama kiunzi cha kukusanyia data pamoja na kuendeshea mjadala wa makala. Data za makala hii zilipatikana kwa kutumia njia ya udurusu wa nyaraka. Matokeo ya uchunguzi yanaonesha kuwa, ujenzi wa wakaa katika kazi teule umeegemea katika misingi ya kiutamaduni, kipokezi na kitajiriba.

Author Biographies

Athumani S. Ponera, University of Dar es salaam

Mwalim

Jasmine Kinga, University of Dar es Salaam

Mwalim

Downloads

Published

2023-05-17

How to Cite

Ponera, A. S., & Kinga, J. (2023). Misingi ya Matumizi ya Wakaa katika Usimulizi wa Riwaya za Kiswahili: Mifano kutoka Nagona na Mzingile. Kioo Cha Lugha, 20(2). Retrieved from http://elearning.ucc.co.tz/index.php/kcl/article/view/5788

Issue

Section

Articles